Mafunzo kwa afrika

KUKU MMOJA KWA WAKATI

TANGAZO...HABARI NJEMA!

KOZI ZETU ZIME HIDHINISHWA NA LITA (Livestock Training Agency)

na SUA (Sokoine University of Agriculture)

KOZI

 

Tunatoa mafunzo yakinifu kuhusu ufugaji wa kuku ili kuwawezesha wafugai kufikia malengo na kufanikiwa zaidi katika ufugaji wa kuku

 

Lengo letu kuu na la kwanza ni kutoa huduma bora kwa wageni wetu.

Waweza soma shuhuda zao baada ya kupata mafunzo toka kwetu

 

VIFAA VYA MAFUNZO

Chuo chetu cha mafunzo kipo sehemu tulivu karibu na kijiji cha Ihemi, kilometa 36 toka Iringa mjini pembezoni mwa barabara iendayo Mbeya.

Tunatoa elimu katika mazingira bora yanayojenga urafiki.